Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Uwanja wa Benjamin Mkapa leo unafungua milango kwa pambano la mwisho la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 (Kariakoo Dabi) ya mzunguko wa pili kati ya Simba na Yanga. Ni mchezo wa namba 184, ...
SIMBA SC iliingia msimu wa 2025-2026 ikiwa na dhamira ya kushinda taji kubwa la mashindano ya ndani baada ya kufanya ...
Mashabiki wa Simba wameanza kujinasibu kuwa safari hii ni ya kufuta uteja, wakikumbushia maumivu ya kupoteza michezo sita mfululizo dhidi ya watani wao wa jadi na mashabiki wa Yanga nao wanaonekana ...
Ligi kuu ya Tanzania bara msimu wa 2024/25 imehitimishwa kwa namna isiyo ya kawaida. Yanga SC, klabu yenye historia kubwa na ushawishi mpana katika soka la Tanzania, imetwaa ubingwa wake wa nne ...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza mabadiliko ya kanuni za Ligi Kuu yanayolenga kukabiliana na jukumu kubwa la ...
Timu Nne za Tanzania Simba, Yanga, Azam FC na Singida zimeendelea kujifua vyema kuelekea michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho. Simba SC, ambao wamekuwa na rekodi nzuri kwenye Ligi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results